Ni barabara ya Ali Hassan Mwinyi ,Victoria Dar es Salaam, Mmfanya biashara ya Mbwa akiwa anatafakari jambo huku akiwa amemfunga kamba miguuni kwake mbwa ambaye ni biashara yake ili asitoroke wakati akisubiria wateja. Vijana wengi Taifa la kesho wamekuwa wakijitafutia riziki zao kwa njia mbalimbali ili kukidhi mahitaji yao kila siku.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...