Wachezaji wa Polisi Tanzania wakiwa katika mazoezi uwanja wa
Samora Iringa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Tanzania dhidi ya Lipuli utakaochezwa kesho jumatano katika
uwanja huo.
Wachezaji wa Polisi Tanzania Yassin Mustapha (kushoto) na
Mohamed Mkopi wakiwa katika mazoezi uwanja wa Samora
Iringa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania
dhidi ya Lipuli utakaochezwa kesho jumatano katika uwanja huo.
Wachezaji wa Polisi Tanzania Baraka Majogoro (kushoto) na
Yassin Mustapha wakiwa katika mazoezi uwanja wa Samora
Iringa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania
dhidi ya Lipuli utakaochezwa kesho jumatano katika uwanja huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...