Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Rwanda nchini Meja Jenerali Charles Karamba kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Balozi mteule wa Jamhuri ya Rwanda nchini Meja Jenerali Charles Karamba baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Finland nchini Mhe. Riita Swan kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Finland nchini Mhe. Riita Swan baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi mteule wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Mhe. Manfredo Fanti kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akifanya mazungumzo na Balozi mteule wa Umoja wa Ulaya (EU) Mhe.
Manfredo Fanti baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye hafla
fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 28,
2019
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...