Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akitoa hotuba na kumkaribisha mgeni rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika
Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika
Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar
Mbweni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...