
Hapa ndio Sukamahela kijiji kilichopo Kata ya Solya katika Wilaya ya Manyoni mkoani Singida. Na hapa ndipo inaposemekana ni katikati kabisa ya nchi ya Tanzania Bara. Kuna alama iliyo kuleeee juu ya miamba katika picha hapo chini ambako ukaingalia kwa makini juu ya mwamba uliochomoza kulia pana alama kama ya nyani aliyesimama inayoashiria jambo. Basi hapo ndipo katikati ya Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...