Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mighty Revival Ministries Berea International Fellowship (MRM-BIF)  Moses Emena akikabidhi zawadi kwa ajili ya Sikukuu kwa mzee asiyejiweza baada ya kuwatembelea katika Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo.
 Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mighty Revival Ministries Berea International Fellowship (MRM-BIF)  Moses Emena akikabidhi zawadi ya Sikukuu kwa watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, yatima, wajane na wasiojiweza.
 Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mighty Revival Ministries Berea International Fellowship (MRM-BIF)  Moses Emena akiwa katika picha ya pamoja baada ua kukabidhi zawadi ya Sikukuu kwa watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, yatima, wajane na wasiojiweza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...