Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele (CCM) leo Jumamosi Desemba 28,2019 ameshiriki shughuli za maendeleo katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga ambapo ameshirikiana na wananchi kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria.

Mhe. Masele ameahidi kupitia mfuko wa jimbo kuunga mkono juhudi za wananchi hao wanaojitolea ili kuharakisha zoezi hilo.Mbunge Masele anaendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo, kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero mbalimbali.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akizungumza na wananchi wa Ibadakuli waliojitokeza kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga.

Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akizungumza na wananchi waliojitokeza kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga.

Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akishirikiana na wananchi wa Ibadakuli kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akishirikiana na wananchi wa Ibadakuli kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akishirikiana na wananchi wa Ibadakuli kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...