Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Elius Mwakalinga akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa wakandarasi wazawa ulioandaliwa na ofisi ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi kwa kushirikiana na Benki ya CRDB, uliofanyika Januari 07, 2020 jijini Dodoma. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza na baadhi ya wakandarasi wazawa katika mkutano ulioandaliwa na ofisi ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi kwa kushirikiana na Benki ya CRDB, uliofanyika Januari 07, 2020 jijini  Dodoma. 
Meneja wa Uwezeshaji Huduma za Kifedha katika Biashara wa Benki ya CRDB, Mathew Aloyce akiwasilisha mada katika mkutano wa wakandarasi wazawa ulioandaliwa na ofisi ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi kwa kushirikiana na Benki ya CRDB, uliofanyika Januari 07, 2020 jijini  Dodoma. 
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Elius Mwakalinga (wa tatu kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakati wa mkutano wa wakandarasi uliofanyika mjini Dodoma. Pamoja na Katibu Mkuu ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Mawasiliano Tully Esther Mwambapa (wa tatu kulia), Mkuu wa Taasisi za Serikali wa Benki ya CRDB Dr. Bennet Bankobeza (wa pili kulia), Meneja wa Kanda ya Kati Chabu Mishwano (kushoto) na Meneja wa tawi la CRDB Dodoma Peter Chambua.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...