Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja jana Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akipata maelezo Juu ya Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Jengo la
Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Mkoa wa
Kaskazini Unguja kutoka kwa Daktari Dhamana wa Hospitali hiyo Dkt.
Tamim Hamad Said, jana Januari 09,2020, ikiwa ni moja ya shamra shamra ya
Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwahutubia Viongozi na Wananchi kwenye sherehe ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja jana Januari 09,2020 ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
katikati akiwa Katika picha ya pamoja na Viongozi na Watendaji wa Wizara
ya Afya na Maendeleo ya Jamii Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi
Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Hospitali ya Mama na Mtoto Katika Hospitali
ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja jana Januari 09,2020 ikiwa ni
moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...