Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23,2020.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Hassan Zungu baada ya utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23,2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya  kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama ndani ya mojawapo ya nyumba  za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baada ya kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020.

Nyumba za Maafisa na Askari Magereza zilizofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020.
 Kikundi cha Utamaduni cha JKT Kikitumbuiza wakati washerehe za kukabidhi Nyumba za Maafisa na Askari Magereza zilizofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo  Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam Alhamisi Januari 23, 2020


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...