Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli
akiteremka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume
tayari kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria
Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi
mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid
Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria
Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza
ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Ngoma za Utamaduni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunza Mcheza Ngoma za Utamaduni wakati alipoangalia ngoma hizo alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA N A YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...