RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Mussa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya michoro ya jengo la Soko la Samaki inayojengwa katika eneo la Malindi (kushoto kwa Rais Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw.Katsutoshi Tadeka na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Malindi ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Mussa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya michoro ya jengo la Soko la Samaki inayojengwa katika eneo la Malindi , wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...