RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria
Uzinduzi wa Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,
ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar , (kulia kwa
Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi ,
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe.
Dkt. Sira Ubwa, hafla hiyo imefanyika katika daraja hilo
kibondemzungu.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili katika
viwanja vya hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu, ikiwa ni
shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa hafla hiyo
iliofanyika katika eneo la daraja hilo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria
ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi
Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe Dkt. Sira Ubwa,ikiwa ni
shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapoinduzi ya Zanzibar.(Picha
na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Msimamizi
wa Mradi Ujenzi la Kibondemzungu.Eng.Cosmas Masolwa, akitowa maelezo ya
kitaalum ya ujenzi huo, wakiwa katika daraja hilo baada ya ufunguzi wake
uliofanyika leo,9-1-2020, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua daraja hilo
baada ya kulifungua, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Mhe.Dkt. Sira Ubwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara
ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg.Mustafa Aboud Jumbe, ikiwa ni
shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...