Mratibu wa mradi wa Instant Schools ulio chini ya Vodacom Tanzania Foundation, Christine Lucas akiongea na wana kamati na wazazi wa wanafunzi wa darasa la Tano wa Shule ya msingi Diamond jijini Dar es Salaam, kuhusiana na Program ya Soma Kidijitali ambapo mwanafunzi anapata masomo mbalimbali kupitia simu ya kiganjani, elimu hiyo ilitolewa kwa wazazi wakati wa kikao kilichofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.
Home
ELIMU
Vodacom Tanzania Foundation yaeneza huduma ya kujisomea kidijitali shule ya msingi Diamond jijini Dar es Salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...