Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki, akizungumza
na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiguza iliyopo Wilaya ya Mkuranga
mkoani Pwani baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa
na wafanyakazi ikiwa ni msaada toka kwa wafanyakazi Wanawake wnaofanya
kazi Airtel. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Kitengo cha kuhudumia wateja wakubwa Airtel Tanzania, Alice
Maziku, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiguza iliyopo
Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani baada ya kukabidhi msaada wa vitu
mbalimbali vilivyotolewa na wafanyakazi Wanawake wnaofanya kazi Airtel.
Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Kitengo cha kuhudumia wateja wakubwa Airtel Tanzania, Alice
Maziku, akimkabidhi msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya
Msingi Kiguza iliyopo Mkuranga, ikiwa ni msaada toka kwa
wafanyakazi Wanawake wanaofanya kazi Airtel. Hafla hiyo ilifanyika
mwishoni mwa wiki.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kiguza iliyopo Mkuranga, Radhia
Mpangile, akiwagawia taulo za kike wanafunzi baada ya kukabidhiwa na
wanafanyakazi wa Airtel Tanzania ikiwa ni msaada toka kwa wafanyakazi
Wanawake wanaofanya kazi Airtel. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa
wiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...