Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amemnusuru mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa Kuendelea kutumikia kifungo cha Miezi mitano ama kulipa faini ya sh. Milioni 40 alichohukumiwa juzi Machi 10 2020 baada ya kulipa faini ya sh milioni 38 kati ya milioni 40.
Hatua hiyo imefikiwa leo Machi 12,2020 baada ya familia kwenda kuomba msaada kwa Rais Magufuli baada ya wao kuchangishana na kufanikiwa kupata sh. Milioni mbili tu na kushindwa kutimiza fedha hizo zote.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...