Wafanyakazi wa hoteli ya Johari Rotana washerekea siku ya wanawake duniani kwa kula chakula cha mchana na wanawake, hii ni kuona mchango wa wanawake katika jamii.
Mkurugenzi wa masoko wa hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, Brigitte Alfred (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa mauzo ya hoteli Johari Rotana, Amina Kapya (kulia) na Mkurugenzi mtendaji wa CCBRT, Brenda Msangi mara baada ya hafla ya chakula ya mchana iliyoandaliwa na hoteli hiyo kwa ajili ya kusheherekea siku wa wanawake duniani, ambayo ilihitimishwa machi 8,2020.
Mkurugenzi wa masoko wa hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, Brigitte Alfred (kushoto) na Mkurugenzi wa mauzo ya hoteli hiyo, Amina Kapya (kulia) wakiwa kwenye picha na Mkurugenzi mtendaji wa CCBRT, Brenda Msangi katika hafla ya chakula ya mchana iliyoandaliwa na hoteli hiyo kwa ajili ya kusheherekea siku wa wanawake duniani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...