Watumishi wa Hospitali ya Mount Meru wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya (hayupo pichani) alipowasili katika hospitali hiyo.
 Wajumbe wa Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya pamoja na watumishi wa Afya wa Hospitali ya Mount Meru wakisikiliza kwa makini taarifa inayowasilishwa ya hali ya wagonjwa wanaoishi na virusi vya ukimwi pamoja na takwimu za ugonjwa huo kwa Jiji la Arusha.
 Susan Lyimo akichangia jambo baada ya uwasilishwaji wa taarifa ya hali ya wagonjwa wanaoishi na virusi ya ukimwi kwa Jiji la Arusha.
 Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya wakisalimiana na watumishi wa Afya wa Hospitali ya Mount Meru walipowasili kuona huduma zinazotolewa kwa waathirika wa virusi vya ukimwi na Kifua kikuu.
\

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...