Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa shamba
la ufuta la Kampuni ya Haya Modern Agriculture Limited lililopo Mkoamzi
wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo,
Omari Mgumba na wa tatu kushoto ni Mkurugenzi wa shamba hilo, Mohamad
Zioud. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili
kwenye shamba la ufuta la Haya Modern Agriculture la Mkomazi wilayani
Korogwe kweka jiwe la msingi la mradi huo, Machi 5, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mtambo wa kaupanda mazao wakati
alipotembelea shamba la ufuta la Kampuni ya Haya Modern Agriculture
Limited lililopo eneo la mkoamazi wilayani Korogwe, Machi 5, 2020.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na wa tatu kushoto ni
Mkurugeni wa shamba hilo, Mohamad Zioud.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama shamba lililoandaliwa kwa ajili
ya kilimo cha ufuta wakati alipotembelea shamba la kampuni ya Haya
Modern Agriculture Limited la Mkoamazi wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...