Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua eneo la machimbo ya madini ya Boxite la Magamba wilayani
Lushoto, Machi 5, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Madini, Doto Biteko,
wanne kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Angelina Mabula na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela.
Aliagiza kusitishwa kwa shughuli za uchambaji katika machimbo hayo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wananchi katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Mabughani
wilayani Lushoto, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...