Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea kitabu kutoka kwa Mbunge wa Bunge la Zambaia, Mhe. Princess
Kasune ambaye aneishi na virusi vya UKIMWI baada ya Waziri Mkuu,
kuzungumza wakati alipozindua kampeni ya kitaifa ya viongozi wa dini na
bunge katika kupunguza unyanyapaa dhidi ya UKIMWI kwenye ukumbi wa
Msekwa, bungeni jijini Dodoma, Machi 10, 2020. Kitabu hicho kiitwacho
Warrior Princess kimeandikwa na mbunge huyo kwa lengo la kutoa maarifa
kuhusu kuishi kwa mtumaini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...