Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma kwa Wateja la Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu leo March 07,2020. kulia Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Waziri Kindamba. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wakati wa uzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma kwa Wateja la Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu leo March 07,2020. kulia Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Waziri Kindamba, kushoto Naibu Waziri Ujenzi na Mawasiliano Mhe. Kwandikwa.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo Jipya la Stendi mpya ya Kisasa Wilayani Bariadi Mkoani simiyu leo March 07,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...