RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali
Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara
Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Wadau wa Sekta Binafsi na
za Umma na Wafanyabiashara Zanzibar .
KATIBU Mkuu Kingozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid
Yahya Mzee akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa
la kumi (10) la Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Balozi Amina Salum Ali
akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa kumi wa Jukwaa la
Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI wa Wajumbe wa Mkutano wa Jukwaa la Kumi (10) la Biashara
Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia wakati
wa ufunguzi wa Mkutano wa Julkwaa la 10 la Biashara Zanzibar ,
lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe.
Mussa Azzan Zungu na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Abdalla Ulega.
wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar,
wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani)
WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakifuatilia hutuba ya
ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga na kushoto Naibu
Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani.(BOT) Ndg.Julian
Raphael Banzi na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe.
Hassan Khamis Hafidh, wakifuatilia ufunguzi wa mkutano wa Jukwaa la
kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
akihutubia na kufungua jukwaa hilo, lililofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI yac Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , wakifuatilia
hutuba ya ufunguzi wa Jukwaa la kumi la Biashara Zanzibar, wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdullwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg. Toufiq Salim
Turky, akiwasilisha taarifa ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar
wakati wa ufunguzi wac Jukwaa la Kumi la Bishara Zanzibar lililofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza wakati
wa hafla ya ufunguzi wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar,
lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi. Mhe.Dk. Ali Ali Mohamed Shein.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na
Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu. Akizungumza wakati wa mkutano wa kumi
wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar. Ndg. Bakari
Ali Bakari akiwasilisha Taarifa ya Braza wakati wa Jukwaa la Kumi la
Biashara Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
MKURUGENZI Mtendaji wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) Ndg.
Hamad Omar Hamad, akiwasilisha taarifa ya Jumuiya ya Wafanyabiashara
Zanzibar, wakati wa mkutano wa Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar
linalofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
Zanzibar.
MUWASILISHAJI Mada kutoka Tume ya Mipango Zanzibar.Ndg.Salim Saad,
akiwasilisha Mada kuhusia na Uchumi wa Bluu (Blue Economy) wakati wa
mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar linalofanyika katika
ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI Wajumbe wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akiangalia Ngoma aina ya Kibati wakati alipowasili katika
viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idriusa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar, kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Kumi wa Jukwaa la Jukwaa la
Biashara Zanzibar,(kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda
Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salim Ali na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya
ya Mjini Bi. Marine Joe Thomas.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(kushoto kwa Rais) Waziri wa
Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Naibu Waziri
wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na (kulia
kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja. Bi, Marine Joe Thomas.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...