Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati alipofika
kujitambulisha na kufanya mazungunzo, Ikulu Zanzibar, leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), akiwa katika
picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene
(wapili kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliyofanyika Ikulu
Zanzibar, leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akimsikiliza Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kulia), alipokuwa
akizungumza Ikulu Zanzibar, leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (wapili kushoto) akimsikiliza Kamishna wa Uhamiaji
Zanzibar, Johari Sururu, alipokuwa anamuonyesha kiwanja kilichopo eneo
la Mwanakwerekwe ambacho Ofisi za Uhamijai Mkoa wa Mjini Magharibi
zitajengwa hivi karibuni.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (kulia) akimsikiliza Kamishna wa Polisi Zanzibar,
Mohamed Hassan Haji alipokuwa jengo la Kituo cha Polisi Chukwani, Mkoani
Mjini Magharibi ambacho kipo hatua ya mwisho kukamilika.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...