
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akifungua kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi
na Katibu wa Baraza la Mapinduzi .Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Biahara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi
Amina Salkum Ali na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi
Mohammed Ramia Abdiwawa

KATIBU Mkuu
Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Hassan Reli na Naibu
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Hassan Khamis Hafidh wakiwa
na baadhi ya Wakuu wa Wizara za SMZ wakifuatilia mkutano huo wa Baraza
la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza (hayupo pichani)
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer.

WAJUMBE wa
Baraza la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein. (hayupo pichani)
akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar

BAADHI ya
Viongozi wa Serikali wa kwanza Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said
Hassan Said, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe.
Juma Ali Khatib, wakifuatila taarifa katika makabrasha yao wakati
ikiwasilishwa katika mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar na Katibu
Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Ndg. Bakari Ali Bakari (hayupo
pichani)

BAADHI ya Wakuu
wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatila kikao cha
mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...