Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya
Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Prof. Suffian Bukurura,
wakati alipokuwa anatoa taarifa ya Bodi hiyo, katika Kikao
kilichofanyika Ukumbi wa Polisi, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni
Mwakilishi wa Inspekta Jenerali wa Polisi katika kikao hicho, ambaye pia
ni Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii, Dkt. Mussa Ali Mussa.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (katikati meza kuu), akimsikiliza Mjumbe wa Bodi ya
Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Hilda Tegwa, wakati
alipokuwa anazungumza katika kikao cha Bodi hiyo, kilichofanyika Ukumbi
wa Polisi, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Mwakilishi wa Inspekta
Jenerali wa Polisi katika kikao hicho, ambaye pia ni Kamishna wa
Ushirikishwaji wa Jamii, Dkt. Mussa Ali Mussa. Watatu kulia ni
Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Suffian Bukurura

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Mwakilishi wa Inspekta
Jenerali wa Polisi, ambaye pia ni Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii,
Dkt. Mussa Ali Mussa, wakati alipokuwa anazungumza katika kikao cha
Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi
kilichofanyika Ukumbi wa Polisi, jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto meza
kuu ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Suffian Bukurura.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Jeshi la
Polisi-Ushirikishwaji wa Jamii, Dkt. Mussa Ali Mussa, wakati alipokuwa
anawasili jijini Dar es Salaam, leo, kwa ajili ya kukutana na Wajumbe wa
Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi hilo, kilichofanyika Ukumbi
wa Polisi, jijini Dar es Salaam, leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (kushoto), akisalimiana na Katibu wa Bodi ya Shirika
la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, John Massawe, wakati alipokuwa
anawasili Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Polisi, jijini Dar es Salaam,
leo, kwa ajili ya kukutana na Wajumbe wa Bodi hiyo katika kikao
kilichofanyika Ukumbi wa Polisi, jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni
Kamishna wa Jeshi la Polisi-Ushirikishwaji wa Jamii, Dkt. Mussa Ali
Mussa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...