RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa
Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 ,
mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais)
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid
Yahya Mzee na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Dr.
Sira Ubwa ,(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Dr. Sira Ubwa akisoma
muktasari wa taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake kwa
mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, mkutano uliofanyika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar, (kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa
Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Ndg. Mustafa
Aboud Jumbe, akisoma Taarifa ya Utekelezaji ya Mpango Kazi kwa mwezi wa
Julai hadi Disemba 2019/2020, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar.
MKURUGENZI Idara ya Usafiri na Leseni Zanzibar. Ndg. Suleiman Konoo
Kirobo, akijibu swali wakati wa Mkutano wa kuwasilisha taarifa ya
utekelezaji mpango Kazi kwa mwezi Julai hadi Disemba 2019 /2020,
kiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Wakurugenzi wa Idara na Mashirika mbalimbali yal Wizara hiyo
wakifuatilia uwasilishwaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa
mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, mkutano uliofanyika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) (Picha na
Ikulu)
KATIBU wa Bodi ya Usafiri Zanzibar Ndg. Mohammed Simba Hassan, akijibu
swali liliolizwa wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa
mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. (hayupo pichani).
BAADHI ya Maofisa wa Idara na Mashirika ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano
na Usafirishaji wakifuatilia uwasailishwaji wa utekelezaji wa Mpango
Kazi wa Wizara hiyo ukiwasilishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe,(hayupo pichani)
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Baharini (ZMA).Capt. Abdalla
Hussein Kombo, akijibu swali wakati wa mkutano wa kuwasilisha Taarifa ya
Utekelezaji ya Mpango kazi kwa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,
ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndg. Abdalla Juma, akijibu swali wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020 , ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...