RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria,
walipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiongozana na Balozi wa Nigeria
Nchini Tanzania Mhe.Dkt.Sahabi Isa Gada (katikati) kuonana na Rais na
kufanya mazungumzo leo 5/3/2020



RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Balozo wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi Isa
Gada (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini
Nigeria , mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo. 5/3/2020.

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwa na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania.Mhe.Dkt.
Sahabi Isa Gada, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo
yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar leo,5/3/2020

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi
Isa Gada, wakibadilishana mawazo baada ya mazungumzo na Ujumbe wa
Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria aliofuatana nao.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...