Na Maina Angi'ela Owino
Habarini wapendwa na poleni na mlipuko wa tauni.
Wengi wetu tunamfahamu ndugu yetu, rafiki na dada yetu Monika Kerenge (Monica Nyakiteri) au Monica Ntare) na kwa masikitiko makubwa tunawataarifu kuwa ametutoka. Ameaga dunia akiwa nyumbani Tanzania.
Hapa UINGEREZA msiba uko nyumbani kwake Sydnham 24B
Tree down Road
London SE26 5QH.
Kutokana na mlipuko wa tauni sasa hivi mikusanyiko hairuhusiwi ila mnakaribishwa kuja kwa uangalifu sana.,
Kwa niaba ya familia ningependa kuwapa taarifa zifuatazo:~
1.Sasa hivi tunafanya utaratibu wa kuwasafirisha watoto wake kwenda nyumbani Tanzania kwenye mazishi.
Hivyo ilikufanikisha hayo na kama ilivyo desturi yetu salamu za rambirambi tunapokea kwenye account ifuatayo:~
B CHRISTOPHER
Barclays Bank
Sort Code 202963 Account # 30425877
Tafadhali sajili jina kamili kama reference.
2.Kwa mawasiliano kuhusu msiba pigeni no zifuatazo:~
Fitina 07842644576 mdogo wa marehemu
Beatrice 07404793921 Rafiki
Salumu 07810672562 Shemeji wa marehemu
Lucy 07914 015247 Dada wa marehemu.
Ahsante na Pole sana kwa wote.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa. Jina lake Lihimidiwe.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...