Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiongoza majadiliano wakati wa
kongamano la vijana kujadili fursa za kilimo mifugo na uvuvi kwa mikoa
ya Tabora,Singida,Dodoma na Kigoma katika ukumbi wa Mtemi Isike
Mwanakiyungi leo mjini Tabora.
Kijana Raphael Malongo( kushoto) toka mkoani Singida akitoa ushuhuda wa
mafanikio aliyoyapata baada ya mafunzo kwa vitendo toka nchini Benin
yaliyomwezesha kuanzisha kilimo biashara na kuajili vijana wenzie
Singida.Kulia ni Mwezeshaji wa kongamano Joseph Massimba wa SUGECO
Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora
Aggrey Mwanri akiwa na vijana wakisoma maazimio ya mkoa kuhusu upandaji
miti mara baada ya kupanda miti ya kumbukumbu akihimiza vijana kupanda
miti naili kutunza mazingira na kupata ajira.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwa na vijana mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti ikiwa ni uhamasishaji kilimo cha miti na kuzalisha ajira kwa vijana wa mikoa ya Tabora,Singida,Dodoma na Kigoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...