Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa
Zungu akiongea na ujumbe kutoka Oryx gas Tanzania waliomtembelea Ofisini
kwake Luthuli jijini Dar es Salaamikiwa ni maongezi juu matumizi ya
gesi katika kupunguza wimbi la ukataji miti.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa
Zungu akiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Burn Stove kutoka
Kenya ambao walimtebelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaam
ikiwa ni kwa ajili ya mazungumzo juu ya matumizi ya nishati mbadala wa
mkaa ili kupunguza ukataji wa miti.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...