Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia (watatu) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Kimarekani 5000 kwa kikundi cha Kuku Kalenda App.
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia
akizungumza na wageni waalikwa kwenye kufunga maadhimisho ya wiki ya
Ubunifu nchini (Innovation Week 2020) ambayo yalifanyika kwenye ukumbi
wa LAPF jijini Dar Es Salaam. Katika maadhimisho hayo yenye kauli mbiu
“Buni kwa Tija” kampuni ya Vodacom iliahidi kuendelea kudhamini na
kusaidia wabunifu nchini.
Mkurugenzi
Mkuu wa COSTECH, Dkt. Amos Nungu akizungumza na wageni waalikwa kwenye
kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020)
ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi
Mkazi wa HDIF, Joseph Manirakiza akizungumza na wageni waalikwa wakati
wa kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020)
ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...