
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia , Profesa Joyce Ndalichako, (wa pili
kulia)akipata maelezo kuhusu mfumo wa shule ndani ya box (school in a
box) kutoka kwa mtaalamu wa IOT kutoka kampuni ya simu za mkononi ya
Vodacom Tanzania PLC Faridi Seif wakati wa mchapalo wa uzinduzi wa
wiki ya Ubunifu iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Switzerland nchini,
Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC Hisham Hendi na
Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu , Profesa Maulilio
Kipanyula (wapili kushoto)

Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia , Profesa Joyce Ndalichako, (watatu
kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC Hisham
Hendi.( Wapili kulia) juu ya mfumo wa shule ndani ya boksi (school in a
box) wakati wa mchapalo wa uzinduzi wa wiki ya ubunifu iliyofanyika
nyumbani kwa balozi wa Switzerland nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa
Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia. Kushoto ni
mtalaam wa IOT wa Vodacom Tanzania PLC Faridi Seif

Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia , Profesa Joyce Ndalichako, (wapili
kushoto) akiuliza jinsi mfumo wa shule ndani ya boksi (school in a box)
unavyofanya kazi kwa mtalaam wa IOT wa Vodacom Tanzania PLC Faridi
Seif wakati wa mchapalo wa uzinduzi wa wiki ya Ubunifu iliyofanyika
nyumbani kwa balozi wa Switzerland nchini, iliyoandaliwa na Kaimu
balozi, Wa pili Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC
Hisham Hendi na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo
Rosalynn Mworia.

Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia , Profesa Joyce Ndalichako, (kushoto)
akiteta na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania
PLC, Rosalynn Mworia wakati wa mchapalo wa uzinduzi wa wiki ya Ubunifu
iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Switzerland nchini, kulia ni Kaimu
balozi Mr Leo Nascher.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...