Mkuu wa mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kanda ya kaskazini, Brigita Stephen akikabidhi vifaa mbalimbali kwa niaba ya wafanyakazi wa Vodacom kanda hiyo kwa wakinamama waliojifungua na wanaotarajia kujifungua kwenye Hospitali ya Tengeru iliyopo Halmashauri ya Meru jijini Arusha leo, Ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, ambapo kauli mbiu yao ni "uwajibikaji wa uongozi katika kujenga kizazi cha usawa wa Jinsia"


Meneja wa VBU, Scola Lyakurwa akizungumza na Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Tengeru mara baada ya kutoa vifaa mbali mbali ikiwa sehemu ya kuwafariji wakinamama waliojifungua na wanaotarajia kujifungua kuelekea siku ya wanawake Duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...