Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela (katikati) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya  (wa kwanza kushoto) mara baada ya mazungumzo yao kuhusu mkakati wa kukuza kilimo cha mpunga mkoani Tanga leo.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya  akiwa na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo Mlingano Dkt.Catherine Sendoro wakati alipotembelea kituo hicho wilayani Muheza 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya akipata maelezo ya namna mbegu bora za mkonge zinavyozalishwa kwenye vitalu kwa njia ya maabara.Kulia ni Mtafiti wa zao la mkonge Gelleson Mkongwe wa kituo cha TARI Mlingano akitoa maelezo 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...