Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe
mkoani Mwanza Ester Chaula (Kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,
Focus Majumbi (aliyevaa miwani) wakipokea msaada kutoka kwa Meneja mauzo
mwandamizi wa Vodacom kanda ya Ziwa Victoria Chale (mwenye T-shirt
nyekundu) na Meneja Miradi wa taasisi ya Sukos Kova Foundation Rahma
Kova.wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vitanda, magodoro, vifaa vya
kuzimia moto, Mablanketi ya kuzimia moto, mipira ya kuzimia moto,
maboya ya kujiokoa kwenye maji, vifaa vimetolewa na taasisi ya Vodacom
Tanzania Foundation na vina thamani ya zaidi ya Sh 95Milioni.
Home
HABARI
JAMII
Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yasaidia wanafunzi Ukerewe, yatoa msaada wa vitanda, magodoro na vifaa vya kukabiliana na majanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...