Maafisa
wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), (kulia) Meneja
Mikopo Kanda ya Ziwa, Usama Choka na Afisa Mikopo Winfrida Wumbe pamoja
na Jonathan Nkwambi (kushoto) wakizungumza na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, Mary
walipofika shuleni hapo jana alhamisi (Julai 30,2020) kutoa elimu kuhusu
mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.



Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma wakifuatilia kwa makini elimu ya mafunzo kuhusu matumizi ya mwongozo wa uombaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika shuleni hapo jana Alhamisi Julai 30, 2020).




Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Nkwabi akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Mkugwa iliyopo Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...