Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Eid El
Adh’haa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waumini
wa Dini ya Kiislamu wakiswali swala ya Eid El Adh’haa kitaifa kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid El-Adh’haa
iliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
salaam, Julai 31, 2020. Wa tatu kushoto ni Sheikh Abubakar Zubeir Bin
Ally , Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania na wa tano kushoto ni Sheikh
Alhad Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waumini
wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza katika Swala na Baraza la Eid El Adh’haa kitaifa kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamanda wa zamani wa Polisi wa
Mkoa wa Dar es salaam, Suleiman Kova katika Swala na Baraza la Eid El
Adh’haa kitaifa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...