JIMBO LA MBEYA MJINI: Dr. Tulia Ackson ameongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Mbeya mjini kwa tiketi ya CCM kwa kupigiwa kura 843 akifuatiwa na mshindi wa pili Mahenge Mabula aliyepata kura 16 na mshindi wa tatu akiwa ni Charles Mwakipesile aliyepata kura 11
Mshindi wa Kwanza katika kura za Maoni kugombea ubunge kupitia CCM ni Dk. Tulia Ackson akifuatiwa na Dk. Mabula na Mshindi wa tatu ni Charles Mwakipesile Jumla ya wagombea waliliwa 33
Dr. Tulia ameongoza kwa 96% ya kura zote zilizopigwa na Wajumbe ambazo ni 885

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...