Mark James Malinzi, akionyesha vyeti vyake vitatu vya taaluma baada ya kuibuka kidedea katika masomo ya hisabati, fizikia na Kemia wakati wa mahafali ya kumaliza kidato cha sita, shule ya Sekondari St. Anne Marie iliyopo Mbezi Msuguli jijini Dar es Salaam. Leo Julai 18, 2020 shule hiyo imefanya mahafali ya 12 ya ya kidato cha sita ambapo zaidi ya wanafunzi 170 wame graduate .


Mark James Malinzi akifurahi katika picha ya pamoja na mama yake mzazi wa kwanza kulia, wakati wa mahafali ya 12 ya kidato cha sita ya shule ya Sekondari ya St. Anne Marie iliyopo Mbezi Msuguli jijini Dar es Salaam. Wengine ni dada zake Maria Malinzi, Corina Malinzi na na watoto zake, Brighton na Shekinah

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...