Jumanne Fadhili wa Tanzania Prisons (kushoto) akiwania mpira na Licas
Kikoti wa Namungo FC katika mechi ya Ligi Kuu ya VODACOM Tanzania Bara
iliyochezwa kwenye Uwanja wa Kassim Majaliwa, Ruangwa, Julai 18, 2020.
Timu hizo zilitoka sare 1-1.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Azizi Ismail wa Tanzania Prisons akichuana vikali na Jamal Mwambeleko
wa Namungo FC katika mechi ya Ligi Kuu ya VODACOM Tanzania Bara
iliyochezwa kwenye uwanja wa Kassim Majaliwa, Ruangwa, Julai 18,
2020.Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...