Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali
alipowasili kwenye Uwanja wa ndege Jijini Mwanza leo Julai 31,2020 kwa ajili ya
kuhudhuria Sherehe za Sikukuuu ya Wakulima nanenane inayotarajiwa kuzinduliwa
kesho Agosti 01, 2020 Kitaifa Mkoani Simiyu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...