Mgombea nafasi Ubunge Nd.Simai Mohamed Saidi kupitia CCM alipokuwa akijieleza kwa wajumbe wa Mkutano wa Jimbo la Tunguu kuomba Ridhaa katika Mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tunguu CCM wa kura ya maoni wa kuchagua Mwakilishi na Mbunge wakiingia ndani ya ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein, Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo,[Picha na Ikulu] 20/07/2020.
Wagombea nafasi za Mbunge na Mwakilishi Jimbo la Tunguu CCM wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein, Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wlaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja kabla ya kuanza kujieleza kuwania nafasi hizo katika kura ya maoni katika mkutano mkuu uliofanyika leo.[Picha na Ikulu] 20/07/2020.
WAGOMBEA nafasi za Mbunge na Mwakilishi Jimbo la Tunguu CCM wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein, Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja kabla ya kuanza kujieleza kuwania nafasi hizo katika kura ya maoni katika mkutano mkuu uliofanyika leo.
WAGOMBEA nafasi za Mbunge na Mwakilishi Jimbo la Tunguu CCM wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein, Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja kabla ya kuanza kujieleza kuwania nafasi hizo katika kura ya maoni katika mkutano mkuu uliofanyika leo.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa kura ya maoni kuchagua wajumbe wa Uwakilishi,Ubunge kupitia CCM Jimbo la Tunguu wakiwa katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja ya kuanza kwa mkutano maalum uliofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipowasili katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa kura ya maoni kuchagua wajumbe wa Uwakilishi,Ubunge uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Mgombea nafasi Ubunge Nd.Twaha Ali Muhajir kupitia CCM alipokuwa akijieleza kwa wajumbe wa Mkutano wa Jimbo la Tunguu kuomba Ridhaa katika Mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia kura katika sanduku la kura wakati kupiga kura ya maoni kuchagua wajumbe wa Uwakilishi,Ubunge katika mkutano wa Jimbo la Tunguu uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...