
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi
Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu Dkt
Mwinyi Talib Haji katika ofisi za Wizara Mtumba, Dodoma, mara baada ya
kuapishwa tarehe 20 Julai 2020.
Menejimenti ya Wizara wakiwa wamejipanga kumkaribisha ofisini Naibu Katibu Mkuu Dkt Haji ofisini Mtumba.
Naibu Katibu Mkuu akisalimiana na sehemu ya Menejimenti
Naibu Katibu Mkuu akisalimiana na sehemu ya Wakurugenzi, kulia ni Katibu Mkuu Balozi Ibuge akiwa emeongozana nae.
Naibu Katibu Mkuu akisalimiana na sehemu ya Wakurugenzi
Katibu Mkuu Balozi Ibuge akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu alipomkaribisha ofisini kwake Mtumba, Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...