Peter Ibrahim Msaki Mjumbe Kamati ya siasa Mkoa wa Lindi na Mkutano Mkuu CCM Taifa amechukua Fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Mjumbe Kamati ya siasa Mkoa wa Lindi na Mkutano Mkuu CCM Taifa, Peter Ibrahim Msaki akionesha Fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...