Matokeo ya Kura za maoni jimbo la Mkuranga ,Idadi ya wapiga kura 1,218
Kura zilizo haribika 4 na halali 1214.
Wagombea ni 15 (1)Abdallah Ulega 1138
(2) Ramadhani Mlao 50
(3)Ally Jumanne Mawe 7
4)Mwasiti Omari 5
5)Ibrahim zambi 3
6)Omari kambangwa 3
7)Ramadhani Pepo 3
8)Dismas Bengese 2
9)Curtius Mwesa 1
10Saidi manzerele 1
11)Nuruel Kavishe 1
12 Jafari Ndande 0
13Dominick salamba 0
14Bruno ng’ing’o. 0
15Eng SALUM ALLY 0
Sehemu ya Wajumbe Halali wa kikao wakifuatilia matukio mbalimbali katika Ukumbini wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv
Sehemu ya Wajumbe Halali wa kikao wakifuatilia matukio mbalimbali katika Ukumbini wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mkuranga mkoa wa PwaniPicha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.
Sehemu ya Wajumbe Halali wa kikao wakifuatilia matukio mbalimbali katika Ukumbini wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv
Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...