MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar  Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo
18/11/2020, (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiongoza Kikao hicho kilichofanyika  katika Afisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...