RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Hospitali Mnazi Mmoja
Jijini Zanzibar  akiwa katika ziara yake ya kushtukiza leo 18/11/2020,
kuangalia hali halisi ya Hospitali hiyo na (kulia kwa Rais) Dk. Khamis
Mustafa.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi  akimsikiliza Mkurugenzi  Huduma Ufundi wa Hospitali
ya Mnazi Mmoja Zanzibar  Eng.Mathna Kassim, alipotembelea chumba cha MRI
  katika hospitali hiyo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo mchana
18/11/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja
Jijini Zanzibar alipofanya ziara ya kustukiza leo , kujionea hali halisi
ya utendaji kazi  katika hospitali hiyo. (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi
Uunguzi Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg. Haji Nyonje na (kulia kwa Rais)
Dk. Khamis Mustafa, wakati akitembelea sehemu ya mapokezi ya Wagonjwa
katika Hospitali hiyo leo 18/11/2020.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Daktari wa Macho katika hospitali ya
Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar Dk. Slim Mgeni akitowa maelezo wakati wa
ziara yake alipotembelea Kitengo cha Macho katika Hospitali hiyo leo
18/11/2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akimpa pole mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wagonjwa wa ajali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Ndg. Nassopr Mohammed Khatib alipotembelea wodi hiyo wakati wa
ziara yake katika hospitali hiyo leo 18/11/2020.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...