***************************************
Na Datus Mahedendeka, Jeshi la Polisi
JESHI la Polisi
Mkoa wa Iringa limepata tuzo kutoka kwa Ofisi ya Mkoa wa kwa kazi
linalofanya katika kupinga matukio dhidi ya Ukatili wa Kijinsia.
Akipokea tuzo
hiyo kwa naiba ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Mrakatibu wa Polisi,
Apalilia Kibona amesema tuzo hiyo italifanya Jeshi la Polisi kuongeza
juhudi katika kupambana na kuzuia matukio ya uhalifu.
Amesema wataendelea kushirikiana na wadau pamoja na kufanya misako, doria maeneo ya mkoa wa Iringa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...