Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Jiji la Mwanza - Ilemela na   Nyamagana  kwenye ukumbi wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza , Desemba  17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Jiji la Mwanza  - Ilemela na   Nyamagana  kwenye ukumbi wa hoteli ya Malaika, Desemba  17, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 


Baadhi ya wabunge, Watumishi wa Jiji la  Mwanza- Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Hoteli ya Malaika jijini Mwanza, Desemba 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...